The Choice

27 November 2014

DIDA: EZDEN AKIOA, NITAANZA KUMCHANGIA!


Mtangazaji kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’.
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo.Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden, lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia.
Dida akiwa na mtalaka wake, Ezden Jumanne.
“Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata, nitapenda sana. Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa,” alisema Dida.
Posted by Jason at 11:35
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • LAANA SASA.....MADENT NAO KATIKA PICHA ZA UTUPU
  • MUIGIZAJI AJIKATA UUME AKITAKA KUWA MWANAUME
  • WATOTO WA RAIS OBAMA NDANI YA SKENDO CHAFU YA MAVAZI YA KIHASARA!
  • JINSI YA KUAMUA KUZAA MTOTO WA KIKE AU WA KIUME.... SOMO HILI LITASAIDIA KUPUNGUZA UGOMVI
  • JUACALI - BABA YAO (Official Video)
  • DIAMOND PLATINUMZ ANENA MAZITO KUHUSU WEMA, AJIAPIZA KIFO! WEMA NAYE AJIBU MAPIGO!
  • COMMENT ZA WADAU BAADA YA WADAU KUIBUKA NA ZARI USIKU WA JANA
  • DALILI 20 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA KWA DHATI!
  • HATIMAYE PENNY AKANUSHA ILE SKENDO YA KUWA NA MPENZI MPYA
  • BREAKING NEWZZZ....JESHI LA POLISI LAWATAWANYA WAFUASI WA ZITO NA WAFUASI WA CHADEMA WALIO TAKA KUPIGANA

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.