Msanii anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi.
MSANII anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu Bongo, Sarbrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa mwanamuziki, Rummy Nanji ‘Bob Junior’ ambaye kwa hivi sasa ndiye mpenzi wake amembadilisha mavazi yake
aliyokuwa akivaa awali kabla hawajawa pamoja.Akizungumza na Amani, Sabby alisema kuwa mpenzi wake huyo mara nyingi anapenda ajitande nguo na kuwa mtoto wa Kiislamu kama asipokuwa katika ishu za kurekodi kwani anaamini kuwa binti wa Kiislamu anapaswa kuvaa kiheshima.SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment