30 October 2014

TALICK AMCHAFUA VIBAYA KHADIJA KOPA! MWENYEWE AFUNGUKA!

Mwanaume anayejulikana kwa jina moja la Talick, anayedai kuwa ni mtoto Khadija Kopa.

MAJANGA! Mwanaume anayedaiwa kuwa na swaga zisizoeleweka, anayejulikana kwa jina moja la Talick, mkazi wa Kinondoni jijini Dar anadaiwa kumchafua Malkia wa Mipasho Bongo, Khadija Omar Kopa kwa kudai kuwa ni mtoto wa kuzaliwa kabisa na muimbaji huyo.

 Akizungumza na Ijumaa Wikienda, jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Dully ambaye amekumbana na ushawishi mkubwa kutoka kwa Talick, alisema amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka jamaa huyo akimuomba urafiki wa karibu akidai hata mama yake (Khadija Kopa) ameshamwambia.
SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname