30 October 2014

Najivunia kuwa shoga asema mkuu wa Apple

Mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza jinsia yake akisema kuwa ''anajivunia kuwa shoga''..Bwana Cook alitoa tamko hilo ili kujaribu kuwasaidia watu wanaong'ang'ana kutangaza jinsia zao katika ripoti iliochapishwa katika gazeti la biashara la kila wiki la Bloomberg.Amekuwa wazi kuhusu jinsia yake,lakini pia amejaribu kuweka maisha yake katika
faragha hadi sasa alisema.Wiki hii Bwana Cook alitoa changamoto kwa jimbo lake la Alabama kuhakikisha kuwa haki za mashoga na wale wanaobadili jinsia zinaheshimiwa.
''Mimi sijitambui kama mwanaharakati,lakini nimegundua nilivyofaidika na mikakati iliowekwa na wengine'',alisema bwana Cook.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname