29 October 2014

MUNGU MKUBWA: SAUDA MWILIMA WA STAR TV ANUSA KIFO AJALINI DAR!

Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima. Ajali hiyo ilitokea katika mataa ya kuongozea magari yaliyopo maeneo hayo ambapo lori lilikosea njia na kugonga gari lake aina ya Toyota Ipsum na kuharibikahuku mwenyewe akipata majeraha mkononi na kubanwa kifua.

MUNGU mkubwa! Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita. PICHA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname