Baada ya kukaa na gari yake Rav4.Sasa msanii Elizabeth Michael "Lulu"
ameji-upgrade na kununua gari mpya ya ukweli sana.Hii inaonyesha kwamba
tasnia hii ya Filamu inalipa sana baada ya watu kuwashangaa wasanii kama
Irene Uwiya kwanini wanaendesha magari ya kifahari
No comments:
Post a Comment