Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa
kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai.
Sunday wakati huo pesa ilikua si tatizo kwake na hata kukubali kuolewa na kijana yule ilikua ni
kufata pesa zake.japo baadae aliwekwa kizuizini kutokana na kuishi huko Dubai Kinyume na sheria na hadi sasa
nasikia bado yuko nyuma ya Nondo akisubiria mwisho wa hatma yake. Baada ya sakata hilo aunt
Ezekiel aliamua Kuamua kurudi Bongo na kuendelea kula bata kama kawa kama dawa
No comments:
Post a Comment