29 October 2014

Exclusive : Diamond kupewa PHD chuo kikuu cha mlimani, sasa ataanza kuitwa Doctor Nassib.


IMG_0660

TANGAZO NDUGU ZANGU: Ifikapo Tarehe 8 Novemba Saa 10 jioni,Kijana mwenzetu ambaye sisi tunamdharau na wengine wapuuzi kabisa kwa kufeli kwao maisha wana wivu na wanathubutu kumzomea atakuwa anatunukiwa Shahada ya Uzamivu(Phd) na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam(UDSM) kwa kuthamini mchango wake kwenye jamii…Honorary Phd hata Raisi wetu anayo…Alongside DIAMOND mwingine
atakayepewa Shahada hii ya Heshima kwenye Mahafali haya ni Balozi Fulgence Kazaura ambaye amewahi kuwa VC wa UDSM miaka ya nyuma!! Ningependa kuwakaribisha wale Wazomeaji woooteee wenye sauti mbaha kabisa waweze kufika kwenye Viwanja vya UDSM kushuhudia Tukio la Kihistoria kwa Mtoto huyu wa Tandale ambaye ni BIDII NA HESHIMA Vimemfikisha hapa.. SHKAMOO DR.NASIBU ABDUL au Pengine DR.DIAMOND PLATNUMZ au ukitaka swaga DR.PLATNUMZ BABY! Sky is never the limit!Hongera kwa Mameneja waliomfikisha DIAMOND hapo alipo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname