Mwnajeshi
wa kikosi maalum cha wanamaji kuitoka jeshi la China, akionyesha
matumizi ya mikono dhidi ya adui, wakati wa uzinduzi wa mazoezi ya
kijeshi ya pamoja kati ya Wanamaji wa China na Tanzania kwenye kamandi
kuu ya kikosi cha wanamaji, Kigamboni jijini Dar es Salaam, Jumanne
Oktoba 21, 2014. Mazoezi hayo yaliyopewa jina "Surpassing 2014" yalianza
kwa maonyesho ya matumizi ya mikono katika kupambana na adui pamoja na
maonyesho ya zana za kivita ambapo Mkuu wa Operesheni na mafunzo wa
JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, na Meja Jenerali Wu Xiao Yi kutoka
vikosi vya wanamaji vya China, ndio waliozindua mazoezi hayo baada ya
kusaini makubaliano ya kufanya hivyo |
No comments:
Post a Comment