Msanii wa Bongo Movie Steve Nyerere akiwa ameduwaa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Zuhura Maftah Malisa nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es Salaam leo
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza tayari kwa safari ya kwenda kuusitili mwili wa marehemu katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment