28 October 2014

BINTI ATEKWA NA WACHUNA NGOZI JIJINI DAR!

Binti anayetambulika kwa jina la Latifa Abdallah (wa pili kushoto) akiwa na ndugu zake.
Akizungumza na Uwazi jijini Dar, juzi, Latifa alidai Oktoba 19, mwaka huu akiwa anatoka kumsindikiza dada yake aliyekuwa akienda Kibaha, Pwani ghafla msichana aliyevalia kininja akajigonga kwenye mwamvuli alioushika na kumwambia alimgonga kwa makusudi.
MBONA majanga! Mrembo aliyejitambulisha kwa jina la Latifa Abdallah (19), mkazi wa Kinondoni –Mkwajuni, Dar amesimulia alivyotekwa na watu aliodai ni wachuna ngozi wakiwa na mwanamke aliyevalia kininja ndani ya gari jeusi.


“Nilimwomba msamaha na kumwambia ni bahati mbaya lakini alinikamata na kuniingiza ndani ya gari jeusi lililopaki kando ya barabara ambapo kuna mtu alifungua mlango yule mwanamke akanisukumia ndani,” alisema Latifa.
Akizidi kusimulia, binti huyo alisema kuwa, ndani ya gari hilo alimkuta msichana mmoja kama yeye na mtoto kama wa miaka miwili wakiwa wamefungwa vitambaa vyeusi machoni na yeye akafungwa kama wenzake.INAENDELEA HAPA>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname