NGOMA nzito! Kauli
ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’ kuwa yupo tayari kumtumikia msanii mwenzake Kajala Masanja ‘K’
kwenye kampuni yake ya KAY Entertiment tena bila malipo yoyote,
imetafisiriwa kuwa ni kejeli.
na akanifanya mfanyakazi wake
katika kamusi yake kwa sababu sioni cha kumfanya ashindwe kuwa hivyo,
naamini anaweza kuniajiri na wala sina kipingamizi! hahahaa!”
Baada ya kauli hiyo ya Wema, mashabiki
wake waliikataa kwa maelezo kuwa alilenga kumkejeli Kajala ambaye awali
aliwahi kumwajiri kwenye kampuni yake ya Endless Fame Production.
No comments:
Post a Comment