11 September 2014

JOHARI..ATESWA VIBAYA NA RAY!! AFUNGUKA KIIVI.


Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.

MKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia.

Tukio hilo lilijiri juzikati katika Viwanja vya Leaders Club kwenye uzinduzi wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni ambapo Johari alikuwa amekaa na kruu yake (huku  wakigonga ulabu) ndipo mmoja kati wenzake hao, akagusia stori za Ray kisha Johari alicheka na kusema ipo siku Ray atarejea katika mikono yake.
Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘Ray

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname