![]() |
| Diamond |
Kupitia akunt zake za mitandao ya kijamii Diamond mwenye umaarufu mkubwa sasa Africa ameandika.....
'YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014...
kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart...
lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si
promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis
Events... ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu
pendwa wa Stuttgart....hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama
ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa
pale kwa RedCarpet.... kiingilio ni BUREEEEEE!!!... tafadhariwambie na
wenzio wa nchi za karibu...#NORWAY #HOLLAND#SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na kadharika!!!!"

No comments:
Post a Comment