26 March 2012

Breaking Newzzz Msanii wa TNG afariki DUNIA

Mwenye nguo yenye bendera ya Tanzania ndio Abdul Salehe au SHEK T , mwanzilishi wa kundi la TNG Tanga, alifariki jumatano huko Tanga kutokana na kusumbuliwa na kifua, ameacha watoto wawili, yeye ndio aliimba kile kiitikio cha bongooooooo kwenye single yao ya 
bongo.com! unisamehe picha yake haiko kwenye ubora.Hii ni picha ya kwenye video, R.I.P
 chanzo - millard Ayo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname