28 July 2014

MUONE HUYU NDO MBONGO ALIYEJICHORA TATTOO YA DAVIDO KIUNONI



katika kile kinachoonyesha kuwa ni shobo kwa msanii davido mdada huyu maarufu hapa bongo amechora tatoo kiunoni ambayo ina jina la msanii davido, huku watu wakimponda kwamba hizo ni ndoto na wala davido hajui hata kama kuna mtu kama yeye duniani, haha lakini mwenyewe amedai ni kushow love, ipo tu siku atachora ya diamond au alikiba

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname