28 July 2014

BOB JUNIOR AKANUSHA UVUMI ULIOENEA VIBAYA!!



Ni mtayarishaji wa muziki pia ni muimbaji wa Bongo flava anaye-hit na ngoma yake ya ‘Bolingo’, Raheem Nanji aka Bob Junior amekanusha vilivyo stori zilizoenea kwenye mitandao kuwa amesema Ali Kiba kuwa ndo Best Vocal, Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Diamond kumuheshimu Kiba.


Mwanamuziki huyo mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza ngoma na kuimba hapa Tzee ameliambia BK kinachoendelea kwenye social networks.

“Ninachosema mimi sikutamka neno lolote kuhusu ugomvi wa Ali Kiba na Diamond coz mimi nitabaki na biashara zangu na kuwa legendary wa muziki huu so naomba nieleweke kwa jamii kuwa sikutamka hivyo na

wala sitaki kuingilia ya watu.”

Alikiba jana amepakua ngoma mbili kwa mpigo “Mwana” na “Kimasomaso” zinazosemekana zimewangia kichizi MACHIZI na ndo maana kila mtu anaongea lake!.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname