12 June 2014

MSIBA WA GEORGE TYSON WAZUA MAKUBWA KENYA, UKO MOCHWARI MPAKA SASA NI SUKU YA 14, NDUGU WAENDELEA NA SHUGHULI ZAO

KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya bado haujazikwa huku mazito yakiibuka kuhusiana na msiba huo!Chanzo cha ndani kimesema kwamba, mwili huo utazikwa keshokutwa Jumamosi kijijini kwao huko Kisumu baada ya kukaa mochwari kwa siku kumi na nne tangu kifo.
Katika hali ya kushangaza, utamaduni wa Kenya si kama wa Bongo, misiba hupewa kipaumbele siku za mwishoni mwa wiki, hasa Jumamosi.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname