12 June 2014

MBUNGE MH. LUGOLA AWEKA HIKI KITUKO BUNGENI

Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014.
alilokuwaameva    wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014.
Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname