HIVI NDIVYO SOKO LA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LILIVYOTEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO
Breaking news habari zilizotufkia sasa hivi kwenye mtandao wa makubwa
haya blog ni yakuwa soko la karume ambapo wanauza mitumba linateketea na
moto mda huu inasemekana kuwa watu wa zima moto
wamefika pale lakini
wakashindwa kuuzima moto huo kutokana na ukubwa ulokuwepo, mpaka mda huu
moto huo unaendelea na unakaribia kufika katika kiwanda cha bia
breweries maeneo ya karume, stay tune picha zaidi zinakuja soon
No comments:
Post a Comment