Hadi
hii leo Divas maarufu waliowahi kufunguka kiundani kuhusu kutoka na
mwanamuziki huyu, na kwa nyakati tofauti kila mmoja wao alijaribu
kufunguka kuhusu experience zao, pindi walipokuwa wanatoka na mkali wa
bongo fleva nchini hivi sasa Mr.Dangote aka Diamond Platnumz, ambaye
amerudiana na kuendelea kudumu katika penzi lake la zamani na la siku
zote kwa Diva Wema Sepetu..basi haya ndo machache waliowahi kutoa ya
moyoni.
DVJ Penny
“Kama
uhusiano wowote ulivyo, kuna mwanzo na mwisho na watu wanaachana kwa
sababu nyingi. Nilihisi kwamba nahitaji kumpa nafasi, wote ni vijana na
wakati mwingine tunahitaji nafasi kugundua vitu vipya, kuona kipi hasa
unachokihitaji kwenye maisha. Unajua ukimruhusu ndege afanye vitu
mbalimbali then atajua kama ‘mti huu ndio
Jokate Mwegelo
“Mahusiano
ya diamond yalikuwa very strange, I dont know yani..i think ilikuwa
kazi lakini I guess it was a time I guess I was frustrated,sielewi yani
ilitokea tokea tu”
Jackline Wolper
No comments:
Post a Comment