27 June 2014

KAULI YA DIAMOND KUHUSU TUHUMA ZA WIZI WA NYIMBO YA MDOGOMDOGO NA NYINGINE

Mwanamuziki Diamond amefunguka kuhusu madai ya baadhi ya wasanii kuwa aliwaibia idea au nyimbo zao na kuzifanya zake.Ameeleza kuwa malalamiko yao hayana ukweli kwa kuwa kuna maneno  ambayo yamezoeleka na yanaweza kutumiwa na watu wote lakini anapoyatumia hutokea msanii aliyetumia maneno kama yale na kudai kuwa ameiba idea yake.
Ametoa mfano wa nyimbo kama Moyo Wangu ambao anasema baada ya kuimba wasanii wengine waliimba pia lakini hakuwahi kujitokeza kusema ameibiwa kwa sababu neno hilo linaweza kutumika na kila mtu kwa ufundi wake. isome>>>>>>>>>>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname