Ijeoma Nnaj-Mshindi
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo
yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika
usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & CasinoNa
mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae
amejinyakulia brand new car....Hii inabidi ije na HAPA BONGO!!!brand new car....Hii inabidi ije na HAPA BONGO!!!
No comments:
Post a Comment