14 June 2014

HAPA NDO MAREHEMU GEORGE TYSON ALIPO ZIKWA LEO HII NCHINI KENYA

 PUMZIKA KWA AMANI # KAKA # SWAHIBA # MY BUNDILISHA #MY PRODUCER GEOGRE OKUMU "TYSON" LEO NDIO UMEPUMZIKA KWENYE NYUMBA YAKO YA MILELE 😭😭😭😭😭😭😑😑😑😑😑😑NTAKUKUMBUKA DAIMA # NTAKUKUMBUKA SIKU ZANGU ZOTE ZA MAISHA YANGU # NTAKUENZI SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU # KWELI ULIUMBWA KWA UDONGO NA UMERUDI KWA UDONGO # JINA LA BWANA LIHIMIDIWE #AMEN πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™





No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname