SHILOLE AMKABA NUH MZIWANDA MJINI DODOMA KWA KUHOFIA WANAFUNZI KUMCHUKULIA MAHABUBA WAKE, SHILOLE AHOFIA WANAFUNZI WA ST JOHN
Nuh Mziwanda wakiwa
na Shilole Asubuhi ya leo Mjini Dodoma Ambapo walionekana wakiwa pamoja
Muda wote bila kuachana kutokana na kila mmoja kumwonea wivu mwenzake
bila kuachiana pumzi hata kwa dakika Moja,
Inasemekana Nuh
akiwa anasalimiana na washkaji zake wa Dom Shilole naye anakuwa pembeni
amekaba kinoma. Unaambiwa Shilole anawaogopa sana wanafunzi wa kike wa
vyuo vya Dodoma kumpora bwana kwa kile kinachodaiwa nuh anafagiliwa sana
na wanafunzi wa St John
No comments:
Post a Comment