27 June 2014

BREAKING NEWZZZ.....MCHEZAJI MBRAZIL WA YANGA ATUA RASMI DAR LEO...CHEKI PICHA HAPA

 Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo, tayari kuanza kazi Jangwani. 


Credit- bin zubery

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname