Wanajeshi
wa Boko Haram wanaofanya mashambulizi na kuua raia wasio na hatia huko
Nigeria linaelezwa kuanza kukimbia msitu baada ya nyoka wenye sumu kali
na nyuki kuwashambulia.
Habari
hizi zilielezwa na mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa na kuthibitisha kuwa ni
mmoja wa member wa kundi la Boko Haram na alieleza kuwa hivi sasa kundi
hilo limelazimika kuhama msitu na linaelekea maeneo ya mpaka wa Nigeria
na Cameroon baada ya wanajeshi
wake
wa ngazi za juu kushambuliwa na nyoka na kupoteza maisha. Kumezuka
hisia za kiimani kuwa Boko Haram wanaadhibiwa na mizimu ya watu
waliokuwa waliowauwa kinyama.Jeshi la Nigeria limeshafanya juhudi za
kuwaondoa msituni lakini imeshindwa na hadi sasa kundi hilo
linawashikilia wasichana zaidi ya 260 na bado linaendelea kushambulia
Nigeria kwa mabomu ya kutegwa
No comments:
Post a Comment