02 May 2014

UNAAMBIWA JOHARI AMWAGA MACHOZI LIVE NI BAADA YA RAY NA CHUCHU KUZIDISHA MAPENZI MOTO MOTO



Hot news is that staa ray the great leo kupitia mitandao ya jamii alizungumza kuwa anampenda sana chuchu hans, na hakuna atakayeweza kuwatenganisha, na kwa kuliaprove hilo ndipo alipoamua kuweka picha hii yapo juu ikiwa ni ishara ya mahaba na upendo kwao.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname