Mmoja
wa mabosi wa klabu hiyo aliyeko katika kamati ya usajili amesema kuwa
uongozi wao chini ya mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji hauna nia ya
kutaka kumtosa Ngassa ambapo tayari wameshampatia ofa hiyo kuhakikisha
anasaini mkataba mpya.
Bosi huyo alisema katika ofa hiyo, Ngassa amepewa masharti mawili muhimu
ambapo ametakiwa kutumia sehemu ya fedha hizo kumaliza deni lake la
benki analodaiwa huku mshahara wake wa Sh. Mil. 4 ukibaki kama ulivyo.
Hata hivyo sharti hilo la mshahara linaenda tofauti na ofa ambayo Ngassa
alitaka kupatiwa na klabu hiyo akitakia alipwe dola 3,500 (Sh. Mil 6.5)
kwa mwezi ombi ambalo uongozi wa Yanga umeligomea.
“Hatuna
nia ya kumuondoa Ngassa kuna vitu ambavyo anakosea, anaongea sana,
haangalii kwamba juhudi zetu tunazozifanya tumeshampatia ofa hiyo
afikirie sasa kama kweli anataka kubaki hapa,” alisema bosi huyo.
“Tumempa hiyo ofa lakini tatizo lake ni moja anataka mshahara mkubwa
sana, kiasi ambacho ametaka tumpatie ni kikubwa sana kama atakuwa
muelewa katika hili atakubali kusaini.”
Ngassa amekuwa akionekana kujuta kwa maamuzi yake ya kukataa ofa ye
kwenda El Merreikh ya Sudan iliyomtaka wakati akiwa Simba kwa mkopo
akitokea Azam ili tu akipige Yanga na kukumbana na adhabu ya kuwalipa
Wekundu wa Msimbazi fedha alizosaini awali kabla ya kukimbilia
Jangwani..
Including, swiss replica rolex a fabulous young lady pieces where you are positively ın a position to liven up an individual's present-day styles from a clear process. Yet Switzerland omega replica sale may be a wonderful solution to your wonderful gents at this present time. At last they're just for an extended time durable pieces which could most certainly provide you sturdy swiss rolex replica within a flawless process. This is the reason on line rolex pieces retail outlet delivers working fake omega. Consumers own negative sense when using the hublot replica sale, which unfortunately is equivalent to inferior quality pieces.
ReplyDelete