Picha Zinazoashiria Beyonce Huwenda Anaujauzito
Tetesi za Beyonce kuwa mjamzito zimeendelea kusisitizwa hivi karibuni
huku watu wake wa karibu wakieleza kuwa ameanza kufanya matendo kama
aliyokuwa anafanya wakati ana ujauzitowa mtoto wake wa kwanza anaejulikana kwa jina la Blue Ivy.
Wikendi iliyopita, Beyonce alichochea tetesi hizo alipotembelea jumba
la makumbusho ya kihistoria huko Ufaransa ambapo alikuwa ameshikilia
tumbo lake kwa muda, huku likionekana kama limevimba kwa mbali.
No comments:
Post a Comment