28 April 2014

O MCHEZAJI WA FC BARCELONA ABAGULIWA KWA KUTUPIWA NDIZI YEYE AAMUA KUIMENYA NA KUILA UWANJANI

Mchezaji wa timu ya Barcelona Dan Alves akila Ndizi aliyotupiwa na Mashabiki wakati Timu yake Ikicheza na Vilarial Jana Usiku Nchini Hispania.Tukio Hilo lilitokea Mchezaji huyo alipokuwa anaenda Kupiga Mpira wa Kona na Ndipo aliporushiwa Nzidi na Mashabiki yeye kuamua kuiokota nuimenya na kuila mbele ya Mashabiki Uwanjani

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname