27 April 2014

AJALI...AJALI.....AJALI......BASI LA RATCO LAPATA AJALI KIBAHA, PWANI

 Wananchi wakioka kwenye gari kupitia madirishani.
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka upavu baada ya kuacha njia.

Endelea kuungana nasi... Tunaendelea na uchunguzi utapata habari zaidi badaae. 
CHANZO HABARI NA MATUKIO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname