20 March 2014

Angalia Video Yanga walivyokosa penati vs Azam

Screen Shot 2014-03-19 at 9.59.22 PM
Ni game ambayo mwisho wa mchezo iliishia 1-1 Uwanja wa taifa Dar es salaam March 19 2014 ikiwa ni ligi kuu ya Vodacom ambapo kwenye page ya Youtube ya Vodacom Tanzania ndio kumewekwa hii video.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname