16 March 2014

ANGALIA PICHA YANGA WAPATA AJALI MIKESE WAKITOKEA MOROGORO


Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabus yaliyokua yakitanua kuelekea mikoa ya bara kuziba njia na kusababisha kutumbukia kwenye mtaro.ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname