21 March 2014

ANGALIA PICHA MCHAWI ALIPONASWA KANISANI ARUSHA

Shabani akiwa na vitenda kazi vyake akiwa eneo la kanisa
.Angalia picha za mtu aliyejitambulisha kwa jina la Shabani Hamisi alikuwa akijihusisha na vitendo vya kishirikina, akiwa chini ya wanamaombi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Arusha mara baada ya mtu huyo kukamatwa usiku wa kuamkia leo wakati wa maombi kanisani hapo ambapo ametoa maelezo mbalimbali namna alivyokuwa akishiriki katika vitendo hivyo vya kishirikina.

Akiwa amevua shati huku akiwa anaombewa.ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname