Msanii wa Filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel hivi karibuni alijikuta akiangua kilio alipokuwa eneo la kuigiza ‘location’ pande za Kijichi jijini Dar baada ya kusumbuliwa na jino ambapo alishindwa kuvumilia maumivu.
Akizungumza na Amani baada ya kupatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Aviation, Aunty alisema kuwa alijikuta uvumilivu unamshinda na kuangua kilio kwani kila alipojaribu kufanya kazi alishindwa.SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment