Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment