24 February 2014

TAZAMA PICHA::DEREVA WA LORI LA MAFUTA ATEKETEA KWA MOTO KATIKA AJALI MIKESE, MOROGORO


Baadhi ya watu waliokwama kijiji cha Fulwe kata ya Mikese mkoani Morogoro wakiangalia mwili wa dereva wa lori lililobeba shehena ya mafuta lililokuwa likitoka Dar kueleka upande wa Morogoro, ukiwa umeteketea vibaya kwa moto baada ya ajali.


Mwili wa dereva wa lori la mafuta ukiwa umeteketea kwa moto.
Wananchi wakibeba mwili wa dereva wa lori ulioteketea kwenye moto.

(PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL, MOROGORO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname