19 February 2014
LINAH SANGA NA SKENDO YA UJA UZITO WA MUHINDI AKA MDOSI
Habari ya Mjini leo kutoka katika Gazeti Moja Linasema Linah Sanga Amedungwa Ujauzito na Mdosi mmoja Ajulikanae kwa Jina Nagar Aneye Ishi Mbezi , amekuwa karibu na Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu sasa na kwamba mimba hiyo imeonekana kumfurahisha sana msanii huyo.
“Huyu Nagar ni mpenzi wake wa muda mrefu na inaonekana hii mimba ameipenda sana. Kila siku anamsifu huyo mpenzi wake,” kilisema chanzo hicho kilichodai kuwa wawili hao wamekuwa wakiambatana pamoja katika sehemu mbalimbali za starehe...
Linah Alitafutwa ili Kujibu Habari Njema Hiyo lakini Alikataa kutoa Ufafanuzi zaidi kuhusu Hilo..
credit-Udaku Specially Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment