Msanii anayefanya vizuri kutoka kule nchini kenya Jaguar hivi karibuni alikaririwa akisema anatengeneza pesa zaidi ya shilingi 1.2 million za kikenya sawa na shilingi 22,800,000 za kitanzania
Msanii huyo ambaye alifanya show kubwa 4 nchini kenya week ilipita ambapo katika kila show moja aliyofanya alitakiwa kulipwa 300,000 za kikenya sawa na shilingi 5.7million za kitanzania katika kila show moja
No comments:
Post a Comment