21 February 2014

ANGALIA PICHA FAMILIA INAYOISHI CHOONI MARA BAADA YA NYUMBA YAO KUEZULIWA

 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.
 Aziza Mohamed(55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai.

 Nyumba ambayo familia ya Aziza Maohamed ilikuwa ikiishi awali kabla ya kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua katika kitongoji cha Kijweni kijiji cha Mijongweni kata ya Machame/Weruweru
.ANGALIA PICHA ZAIDI HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname