02 January 2014

RAY C AFUNGUKA KUHUSU JACK CLIF..ASEMA WACHA AFE TU TENA ANYONGWE KABISA


Kutokana na maswahibu makubwa yaliyompata Ray C juu ya madawa ya kulevya, ameshindwa kujizuia kutokusema ya moyoni mwake juu ya mwanadada Jack Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini china. Kafunguka maneno mengi sana na alionyesha ni jinsi gani alivyokuwa hamuonei huruma mwanadada Jack mpaka kuamua kutamka bora anyongwe tu. 

Soma alichokisema hapa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname