![]() |
Jackie Cliff |
Jack Clief inavyonekana kapost picha hiyo leo akiwa kavaa kofia nyeusi iliyoandikwa Kenzo ,top nyeusi na pensi aliyowahi kuonekana nayo kwenye picha zake kadhaa na katika post hiyo chini ya picha aliandika alama ya vidole viwili tunajiuliza kama kweli alikamatwa na je na kama hakukamatwa mbona kawa kimya kipindi kirefu tangu taarifa hizi zianzwe kusambazwa au kuna mtu kaingia kwenye akaunti yake ya Instagram na kupost picha hiyo,kandili yetu inafuatilia suala hili ili kukupa habari kamili
No comments:
Post a Comment