NYIMBO MPYA TOKA KWA DIAMOND AKITUMIA BEAT YA CHEGGE CHIGUNDA USWAZI
Zitumie hizi dakika kadhaa kumsikiliza alichokifanya Diamond kwenye
hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki
kuwapa watanzania
hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo afu
tupe maoni yako hapo chini kwa kucoment.
No comments:
Post a Comment