Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.
Mbunge
wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba
cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na
Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki dunia!
Apumzike kwa amani..
ReplyDelete