20 PICHAZ...VITUKO VYA DUNIA HII BANA....TAZAMA SHINDANO HILI LA PICHA ZA HATARI ULIZOJIPIGA MWENYEWE...!‘The Most Dangerous Selfie’
Kwa wale wapenda picha za kujipiga
wenyewe yaani ‘Selfie’ kuna mchezo umeanzishwa mtandaoni na kubatizwa
jina la ‘Selfie Olimpics’.
Mchezo huo ambao umeonekana kuwavutia
vijana wengi zaidi unawataka watumiaji wa Facebook, Twitter na Instagram
kupiga picha za hatari ‘The most dangerous and outlandish selfie ever’
na kuzipost katika mitandao hiyo.
No comments:
Post a Comment