YAMETIMIA..MSHINDI WA GARI ‘MANYWELE KIGOLI 2013’ HUYU HAPA
Mratibu
wa mashindano, Maimartha Jesse (kushoto), akimkabidhi funguo mshindi wa
Manywele Kigoli 2013 Suzan (Suzie) muda mfupi baada ya kutangazwa
kutwaa taji hilo.
Suzie (katikati) akiwa ameketi na mshindi namba mbili, Shuu (kulia) na namba tatu, Monalisa (kushoto).
Suzan akiwa kwenye gari lake muda mfupi baada ya kutwaa taji hilo.
Msanii wa Bendi ya Malaika, Christian Bella, akitumbuiza kwenye mashindano hayo.
Ally ‘Nipashe’ akiserebuka na mrembo jukwaani baada ya kuombwa kutumbuiza mahali hapo.
Mshindi wa kwanza , wa pili na wa tatu wakiwa katika pozi.
Baadhi ya mashabiki wakishuhudia shindano hilo.
Vigoli wakiserebuka.
MREMBO Suzie jana alishinda mpambano wa Manywele Kigoli 2013
uliofanyika ndani ya ukumbi wa Business Park uliopo Makumbusho jijini
Dar alipowabwaga wenzake aliokuwa akichuana nao katika kukata viuno.
No comments:
Post a Comment