27 December 2013

UJIO MPYA 2014...AY ASIMAMISHA SHUGHULI ZAKE ZA KIMUZIKI...SOMA ZAIDI HAPA


Na Hawamu Juma

Mwanamuziki wa kimataifa Ambene Yesaya “AY” amesema kuwa kwa sasa amesimamisha masuala yoyote yanayohusiana na muziki na kugeukia mambo mengine.

Akionge na Maskani Bongo AY alisema” Kaka kwa sasa nimesimama sitaki kufanya chochote kunachohusiana na muziki badala yake nafanya mambo yangu binafsi ambayo nisingeweza kuyaweka wazi itakuwa sio poa” Alisema AY

CDT:XDEEJAYZ

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname