Sijaelewa somo hilo kama ndio utandawazi au umaskini umekithiri?Yaani kweli jamii inayo mhimili kushuhudia yanatendeka hayo mbele yao na wanafurahia? Hata hayo tunataka Rais wa nchi ndiye akemee? Hao wamama kweli wamepotoka kiasi cha kujirahisisha na kudhaliika hivyo?Na hawa wanaitwa TAMWA wapo? au na wenyewe ndio wanayafumbia macho kwa kuwa ni wanawake wenzao?Na hiyo haki sawa mnatoitafuta kwa nguvu na hiyo unyanyasaji kijinsia mnakokukoromea kuna utofauti gani na jinsi wanawake wenyewe mnavyojinyanyasa hivyo, je wanaume wawaoneja na kuwathamini vipi kwa vituko hivyo?/

ReplyDelete