18 December 2013

TAZAMA POST KUTOKA OFFICIAL PAGE YA MANCHESTER UNITED INAYOIHUSU TANZANIA..!!


andy Kama wewe ni fan wa Manchester United unaweza ku-follow page ya Manchester United kwenye instagram na kuona post mbalimbali kuhusu Man United.
Leo kupitia page hiyo wamepost kitu kinachoihusu Tanzania na picha ya Andy Cole akiwa na watoto mbalimbali. Caption ya post hiyo inasomeka “MUFC ambassador and goalscoring legend Andy Cole has been in Dar es Salaam in Tanzania, helping with a project to donate footballs to the Tanzania Football Federation. Good work Andy!”. man

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname